395px

Manjegeka (feat. Vanessa Mdee)

Chege Chigunda

Vile nakunyamazishaga
Pale napokufikishaga
Cheka kwa dharau
Sio kichumba kingine ni za kichaga

Azonga!
Cabalera, siñora

Usiletee na maneno yakachonge barabara
Eeh eeh, kama tutakosa pesa tutalala
Eeh eeh, sina gari tutapanda daladala
Baby ogopa vya watu, kuna majini watu
Siku hizi wanaitwa manyaku, uh, uh, uh, uh
Asije ingia shetani kwenye penzi letu
Akaja kusambaratisha ule utamu wetu baby

Funga milango na komeo
Cha kwangu sio banda la video
Wakikurubuni kaza moyo, ooh, ooh

Manjegeka, manjegeka
(Eeh eeh) manjegeka, manjegeka
(Usiletee) manjegeka, manjegeka
(Eeh eeh) manjegeka, manjegeka

Azonga!
Cabalera, siñora

Eeh, wanaoona wivu wajiue
Sumu inauzwa kanunue
Maneno maneno wanitue
Yapogo hata kwenye kanga
Penzi tufunge na kamba
Kuwa pete niwe chanda
Inama ni kissi kidogo tu
Nilegeze naona ushakuwa dede
Inama nishike my baby
Vyote vyako sileti manjegeka
Kuku mayai nitage
Zama chini safisha piga deki
Ooh daddy hushindwi we

Vile nakunyamazishaga
Pale napokufikishaga
Mpaka kucha unang'ataga
Sio kichumba kingine ni za kichaga

Huh, ukinigusaga
Kinyume nyume naendaga
Aah we baba
Vidollar dollar naimwaga
Aah baby

Funga milango na komeo
Cha kwangu sio banda la video
Wakikurubuni kaza moyo, ooh, ooh

Manjegeka, manjegeka
(Eeh eeh) manjegeka, manjegeka
(Usiletee) manjegeka, manjegeka
Manjegeka, manjegeka

Eeh eeh (ehee)

Composição: