395px

Moyo Wangu

Diamond Platnumz

Moyo wangu
Moyo wangu mama eee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eee
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Upole wangu simanzi eeehee
Kwa kukupenda maradhi eeehee
Lakini kupendwaga mi naye
Bahati huaga sina
Jichoni kwangu kibanzi eeehee
Tena nampenda kamanzi
Licha ya kumthamini kama shilingi
Tatizo hata raha sina

Ufinyu wa mboni zangu
Unatazama mengi aliyonipa mateso
Tena hata kupenda sina raha
Ona nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina
Nilishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eee mara iii
Hata najuta kupenda

Moyo wangu
Moyo wangu mama eee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eee
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Mmmmhh tena
Kutwa kucha mara ooohhh
Huwezi kosa maneno
Ili mradi tu tara tantalila
Mmmh sina raha

Wala sina tena mipango
Kutwa nzima na mawazo Gina
Mmhhh aaaaaah ooh sina raha, oo mama
Tamu ya wali ni nazi eee
Raha ya supu maandazi eee
Raha yangu mi kupendwa tu naye
Lakini nyota sinaaa
Na napata na radhi eee, nawakufuru wazazi eee
Kwa kung'ang'Ana mi kutaka kuwa naye
Lakini bahati sinaaa

Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae
Japo akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina
Nilishakata na kauli roho inatoka
Kesho kutwa nzima mara eee mara iii
Hata najuta kupendaa

Moyo wangu
Moyo wangu mama eee
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eee
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Composição: