395px

Bora

Foby

Ulisema unaenda
Kusalimia mama yako na baba
Wiki tumeshakonda
Unarudia analofunza janaba

Kama ushafanya konda
Na mie nipige debe niwe zobe
Wasije wakanibonda
Ni mimi ndo nimiminiwe mashaka

Heri kipofu
Haoni chochote kinachoendelea
Hata kiziwi
Rahisi kutetwa kinachoongelewa

Ila mimi naona nasikia
Naumia navumilia
Penzi kitanzi kinaua
Usivute utamalizia aah

Ni bora, nikuvumilie
Wacha tu mengi niambiwe
Ni bora, oooh acha iwe bora
Ni bora, nikuvumilie (bora)
Acha tu mengi niambiwe
Honey acha iwe oooh

Kuna siku utakuja kukata mizizi yote
Iliyoshikilia moyo wangu, wewe mtoto
Huku na huku utakuta sina nguo zote
Wa kulipigania penzi langu, we mtoto

Huko mwenzangu anasakata rhumba
Mi huku mengi yananikumba
Na siku nikikosa vumba
Ugomvi penzi linaruba

Heri kipofu
Haoni chochote kinachoendelea
Hata kiziwi
Rahisi kutetwa kinachoongelewa

Ila mimi naona nasikia
Naumia navumilia
Penzi kitanzi kinaua
Usivute utamalizia

Ni bora, nikuvumilie
Wacha tu mengi niambiwe
Ni bora, oooh acha iwe bora
Ni bora, nikuvumilie (bora)
Acha tu mengi niambiwe
Honey acha iwe oooh

Ahee ahee, aiyaya
Ahee ahee, aiyaya
Ahee ahee, aiyaya
Ooh

Ahee ahee, aiyaya
Ahee ahee, aiyaya
Ahee ahee, aiyaya
Aiyayayaya

Ni bora, nikuvumilie
Wacha tu mengi niambiwe
Ni bora, oooh acha iwe bora
Ni bora, nikuvumilie (bora)
Acha tu mengi niambiwe
Honey acha iwe, ooh

Composição: