395px

Twende (feat. Barnaba)

Foby

Moja moja mimi nawe
Mpaka kule tunakotaka tufike
Kama vihoja kupigwa mawe
Vimeshafanywa nusura tukomoke

Kisoja soja tubebane
Zamu zamu tunakoenda tufike
Vigorogoja vizozane
Hamu hamu yakutuponda itoke, yeah

Nimeridhishwa na penzi lako mama (mama)
Japo vichenji chenji vyetu ni vya ngama (ngama)

Uzuri ni kitu gani?
Tabia ndo inamata na ujuzi ndani, yeah, yeah
Kwani kuna shida gani?
Kukumbata mtoto mwenye milki uwani, ooh

Nimeridhishwa na penzi lako mamaa (mama)
Japo vichenji chenji vyetu ni vya ngama

Oh, baby, twende!
Mimi nawe, twende!
Usigeuke nyuma, twende!
Mm oh, baby, twende!

Oh, baby, twende!
Mimi nawe, twende!
Usigeuke nyuma, twende!
Hata wakikushikaaa, twende!

Njugu karanga (follow me follow me)
Sindimba au vanga (follow me follow me)
Ona vya vyanga (follow me follow me)
Nishike bega twende sambamba (follow me follow me)
Kifua saa sita magarita haujaniita naitika baby
Baby aah

Uzuri ni kitu gani?
Tabia ndo inamata na ujuzi ndani
Ooh
Kwani kuna shida gani?
Kukumbata mtoto mwenye milki uwani
Ooh

Nimeridhishwa na penzi lako mamaa (mama)
Japo vichenji chenji vyetu ni vya ngama

Oh, baby, twende!
Mimi nawe, twende!
Usigeuke nyuma, twende!
Mm oh, baby, twende!

Oh, baby, twende!
Mimi nawe, twende!
Usigeuke nyuma, twende!
Hata wakikushikaaa, twende!

Inamia dah
This is Barnaba Boy Classic
With my boy Foby
Internationally
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Yeah, yeah, yeah
Dream big

Aiyaa aiya

Composição: