395px

Hatuuzagi

KingsMainaMSsteve

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi
Eeh hata hatuuzagi
Hii tunauza ni wewe
Nawauliza tena hii tunauza ni wewe
Hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao

Nikianika nguo zangu hapa
Chini cianiki jua Dio zikauke
Naanikia customer zangu
Wapeda kazi yangu amenunua Longi
Amenunua viatu
Wamenunua kofia vinyasa
Nimefugua duka amenunua Chovi mafuta
Uga ya gano Wamenunua masoda
Namwamini Mungu nisipouza leo kesho ni Siku kesha
Ukiniroga mimi na kesha na Mungu wangu anibaliki zaidi
Unatamani Nizikwe nikiwa uhai
Hiyo ni ndoto ya Mchana my Friend
Mkiniona na baiki ama Kaduthi kangu nikiuza bithaa Zangu
Heshimu kazi yangu ni Kama ile ingine
Mimi nimejiajiri
Wewe umeajiriwa
Nani ako Mbele pamoja

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi
Eeh hata hatuuzagi
Hii tunauza ni wewe
Nawauliza tena hii tunauza ni wewe
Hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao eeh

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi
Eeh Hatuuzagi
Hii tunauza ni wewe

Mimi na bidii zangu za kila siku
Naigia Sokoni natadaza nyanya
Ngunia napaga Nyanya zangu
Sukuma zangu kitugu
Matunda aina balibali avocado cabbage
Jua imewaka woiye vitu zangu
Zitahalibika Mungu ni nani
Wamezinunua vitu zangu
Hiyo ni kidole siku yangu lmejaa customer wengine ni Wazuri

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi
Eeh hata hatuuzagi
Hii tunauza ni wewe
Nawauliza tena hii tunauza ni wewe
Hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi
Eeh hata hatuuzagi
Hii tunauza ni wewe
Hii Dio Barua yangu iwafikie wao

Mvumilivu hula mbivu siku zote
Ndugu dada majirani zangu
Mwamini mungu sio binadamu Eeh

Composição: KingsMainaMSsteve