395px

Mapenzi Poa Maisha Poa

KingsMainaMSsteve

Kaeni pamoja
Anakupeda unampeda
Anakujali unamjali
Pamoja mnapedezana
Kama ilivyio kawa

Unapika maadazi akiuza
Unapika uji akiuza
Unaigizia pesa hapo kwa kinyozi
Wewe hapo kwa salon
Kunipeda ni kunipeda nilivyio
Wakati niko nayo na wakati sina
Mapenzi poa maisha poa

Ukiniona nakulilia
Mimi sio mjiga
Wewe die mjiga
Nakupeda
Roho yangu inafurahishwa na wewe sanaa

Najua nilikukosea nisamehe dio
Tukae na wewe pamoja
Kama bibi na bwana
Mungu alitabili penzi letu
Sisi tumeamua sasa

Dunia na vituko zake
Urembo wananunua na pesa
Mwili wananunua na pesa
Kulala wananunua na pesa
Waite wanaume

Kuna mambo wanafanya
Brichi kila mahali
Sio makario
Sio kifua
Sio muonekano
Sio sura nzuri
Waite wanawake
Hii ni baya

Kushida ni kushida na wewe
Kukaa na wewe kulala
Mapenzi poa maisha poa

Huyo mtu mmjo asikufanye upoteze thamani yako
Kisha maana hakupedi
Mwachie mungu

Nakutebelea unanitebelea
Wapenzi wanaishi pamoja
Maadui wanaishi kando

Kaeni pamoja
Anakupeda unampeda
Anakujali unamjali
Pamoja mnapedezana
Kama ilivyio kawa

Unapika maadazi akiuza
Unapika uji akiuza
Unaigizia pesa hapo kwa kinyozi
Wewe hapo kwa salon
Kunipeda ni kunipeda nilivyio
Wakati niko nayo na wakati sina
Mapenzi poa maisha poa

Mpiganie nikupiganie
Aliniacha wakati nilimumiss sana
Amelia leo pia jana kusema kaashwa
Hiyo sio poa
Hiyo sio penzi poa

Njaa ya mwili ni kwa muda tu
Njaa ya moyo ni kwa milele
Kupeda ni na moyo sio mwili
Mungu nibariki na mpenzi wangu

Mapenzi poa maisha poa
Tuishi na wewe milele
Daima dawamu mpenzi wangu

Composição: Kingsmainamssteve