395px

Kiboko

Masauti

Masauti kenyan boy
Yaani toto kiboko
Yaani toto kiboko
Yaani toto kiboko
Eey

Ana bonge la nundu
Akitembea mwendo wake aste aste
Rangi yake ka mzungu (chii)
Ukimuona lazima yakudondoke mate
Anavyodatisha madonga (uwee)
Na mabarobaro
Ukijiliza ati unataka pona
Mpaka uhonge majerojero (aah eeh)

Mtoto high class
Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita anang'oa nanga
Yaani mtoto high class
Nywele singa singa, kimahaga(ni mkare)
Yaani working class bila kusita anang'oa nanga(si usaree)

Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Nitadunga suti na tai nimfwate nimnong'oneze
Nimwambie ye ndo nadai ananipa mi mawenge

Toto la kinai, roho body
Uswazi kote ye ndo ametawala
Sioni noma yaani mbona soul body
Akinipa sikatai mimi nakwala

Figure ka mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni na simama
Wima, mpaka alfajiri

Figure ka mjaka
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni na simama
Wima, mpaka alfajiri

Mtoto high class
Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita anang'oa nanga
Yaani mtoto high class
Nywele singa singa, kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita anang'oa nanga (si usaree)

Mtoto kiboko
Eeh ahh kiboko
Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko

Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Ninavyo katika shiro
Dem ulivyoshona doro
Nikikupata kwa godoro
(Hhmm weeh kibokoo)

Ninavyo katika shiro
Dem ulivyoshona doro
Nikikupata kwa godoro
(Hhmm weeh kibokoo)

Ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! Ye! Ye! Yaani kiboko

Composição: