395px

Sare

Masauti

Masauti
Ooh, Kenyan Boy

Baby me na wewe sare (sare)
Sare sare (sare)
Tunafanana sare (sare)
Sare sare (sare)

Nakukabidhi moyo wangu
Moyo wangu, mama unitunzie
Eeh malkia wa penzi langu, fahari yangu
Manyaku wasikunyakue

Eeh wanijua mwenyewe
Mtundu kitandani nielewe
Mpaka chumbani sitaki uchelewe
Ili tu niwe na wewe

Ooh my beiby nishobeze
Zidisha penzi hadi nilewe
Taratibu basi nikoleze
Hadi nikoleee

Umenifanya zuzu umenikoroga
Nimebana kwako mimi siwezi toka
Kabisa nimeganda, nimeganda
Hata wakisema umeniroga
Kwako kamwe mimi siwezi toka
Kabisa nimeganda, nimeganda

Baby me na wewe sare (sare)
Sare sare (sare)
Tunafanana sare (sare)
Sare sare

Baby me na wewe sare (sare)
Sare! Sare! (sare)
Tunafanana sare (sare)
Sare! Sare!

Kila niamkapo sura yako ndio naitazama (aah eeh)
Ukicheka shavuni dimple, mtoto sauti kinanda (aah eeh)
Nataka na penzi lako kitaani mimi navimbaga (aah eeh)
Kwa shepu na kumaku macho podoo, wana hata la kusema ooh

Yaani toto la kishua, unavyonizuzua
Ndio maana ukinipa mimi sikinaaai (eeh! Sikinai)
You bust my medulla, unavyo sasambua
Mi nikiwa nawe najidaii (eeh najidai)

Umenifanya zuzu umenikoroga
Nimebana kwako mimi siwezi toka
Kabisa nimeganda, nimeganda

Hata wakisema umeniroga
Kwako kamwe mimi siwezi toka
Kabisa nimeganda, nimeganda

Ooh beiby
Baby me na wewe sare (sare)
Sare sare (sare)
Tunafanana sare (sare)
Sare sare

Baby me na wewe sare (sare)
Sare! Sare! (sare)
Tunafanana sare (sare)
Sare! Sare!

Composição: