Moyo Kiburi
Aslay
Niacheni niseme nitambe
Mwenyewe na moyo wangu
Ooh, ooh lala lala
Ooh, ooh lala lala
Moyo wangu unataka
Unataka unavyotaka
Unataka unavyotaka
Ila chunga usije leta maafa
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Unataka unavyotaka
Ila chunga usije leta maafa
Unachagua pa kutua
Pa kuchutama pa kukaa
Pa kusimama pa kutembea
Pa kukimbia moyo
Moyo wangu kichefuchefu
Moyo umegoma vitu vichafu
Moyo unataka vitu nadhifu
Vya kuridhisha mwili
Moyo hauna shombo
Moyo bingwa wa nyodo
Moyo hutaki shobo
Shobo shobo shoboo
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Ukileta dharau
Moyo unakusahau (moyo)
Ukijiona mzuri
Moyo unaleta jeuri (moyo)
Moyo nakupa cheo
We ndo mmliki wa hisia zangu
Yaani kama mti
We ni shina langu (shina langu ooh)
Wapo walotaka kushindana
Na moyo wangu wakafeli
Tena walisubiri kupigana
Na moyo wangu wako chali
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi



Comentários
Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra
Faça parte dessa comunidade
Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Aslay e vá além da letra da música.
Conheça o Letras AcademyConfira nosso guia de uso para deixar comentários.
Enviar para a central de dúvidas?
Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.
Fixe este conteúdo com a aula: