Wewe Tu

B2K Mnyama

Tujihadhari beiby
Ukijua umependwa wewe mpweke wewe
Tumia nafasi beiby
Ukijua umependwa nawe upende

Kwa style hii
Utamjuaje mpenzi anayekupenda wewe
Tumia nafasi hii beiby
Ujifunze kupendwa, utaishi mwenyewe

Unapenda sana kununa
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Kuna siku nilichelewa kuruta
Hujui nilikuwa wapi, aah we sema
Hujui nilikufanyia kusudi
Ina maana dhamani yangu huioni

Una shida nami kwani?
Mbona sielewi mami
Wakunieleza ni mi mami
Nijue unawaza ni?

Unapenda sana kununa
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?

Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh

Mama naona naona
Mapenzi maji ya moto yananichoma
Mama mama (mama mama eeh)
Roho inaniuma niuma
Hata nisipofanya kosa wewe una nuna
Mama mama (mama mama eeh)


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de B2K Mnyama e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção