Ni Wewee

Ben Butali

Mpenzi wangu, leo ninakuja kwako
Ili nifungue roho yangu
Tangu macho, yangu yaelekezwe kwako
Sijawahi sema hivi lakini leo ninasema

Ni wewe ninawaza usiku na mchana
Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh
Ni wewe utanipa msichana, mvulana
Ni wewe (ni wewe, ni wewe, ni wewe)
Ni wewe (ni wewe)

Lyra Aoko
Wewe ni wangu na mimi ni wako
Hadi siku ya mwisho
Nakupenda sana we, nataka tuoane
Ili tuwe pamoja my baby
I love you, you are the reason I'm alive
Ni wewe

Ni wewe ninawaza usiku na mchana
Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh
Ni wewe utanipa msichana, mvulana
Ni wewe (ni wewe, ni wewe)
Ni wewe (ni wewe, ni wewe, ni wewe)

Ni wewe ninawaza usiku na mchana
Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh
Ni wewe utanipa msichana, mvulana
Ni wewe (ni wewe)
Ni wewe (ni wewe)

Naimba juu yako nikisema eh

Ni wewe ninawaza usiku na mchana
Ni wewe nitasema kwa baba na mama, eh
Ni wewe utanipa msichana, mvulana
Ni wewe (ni wewe, ni wewe, ni wewe)
Ni wewe (ni wewe)

Baby, ni wewe
Ni wewe
Baby, ni wewe
Ni wewe, ni wewe, ni wewe

Ben Butali and Lyra Aoko
Ni wewe ninawaza usiku na mchana
Ni wewe nitasema kwa baba na mama
Ni wewe utanipa msichana, mvulana
Ni wewe
Ni wewe


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Ben Butali e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção