exibições de letras 6

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo
Maana, mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo
Mara, mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo

Ah sikujua mapenzi balaa
Tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha
Yanajenga chuki na choyo kwenye cover

Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
Inaniuma sana

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (mhh mawazo)
Maana, mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)
Mara, mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Yule jini kisirani kaingia
Kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia
Nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia
Kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani
Mwenzenu nalia na moyo wangu!

Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (uhh mawazo)
Maana, mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (mawazo)
Mara, mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
Ubongo unapata mawazo

Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua

Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Diamond Platnumz e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção