Hainistui

Harmonize

Yao yao, hahaha
Jeshi
(Young legendary)
Yii Kondeboy

Eeh, hainistui
Hainistui
Hainistui
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Konde wenzako watakuroga (hainishtui)
Au na wewe ushaogaa (hainishtui)
Maana hunaga uoga (hainishtui)
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Eeeh leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya Mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subira ngoja Mungu ajakutosa

Majungu na fitina naa naa
Zigeuze changamotoo
Maneno muachie Amina naa naa
Dawa ya moto ni motoo
(Ooh nananaah)

Wapo walosema Konde atapotea
Konde atapotea
Ndege katia gia chombo iyo inapepea
Chombo inapepea

Mi ninakula kwa jasho ooh-ooh
Nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh
Zamu yangu itafika
Nenda waambie, kwamba

Eeh, hainistui
Hainistui
Hainistui
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ah wenzako wanakuchukia (hainistui)
Tena wamepanga kukubania (hainistui)
Isitoshe wao ni matajiri (hainistui)
Usijali we tumia tu akili (hainistui)

Yii, sinaga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa Mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie eeh eeh
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazii

Mi niinakula kwa jasho ooh-ooh
Nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh
Zamu yangu itafika
Nenda waambie, kwamba

Eeh, hainistui
Hainistui
Hainistui
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Mwana anakula tungi mbayaa (hainishtui)
Yule dada anadanga, malaya (hainishtui)
Ataishi pabaya (hainishtui)
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ina-ina-inaa (the mix killer)
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
(Wakimuona dodo na chopa)
Inauma ila itabidi wazoee
(Eeeh siku izi KondeGang wanatuogopa)
Inauma ila itabidi wazoee

Ooh my God it's Better Sound
Hunter, hahahaha
Kwako mwalimu kashasha


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Harmonize e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção