Hujanikomoa

Harmonize

Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi
Konde Boy

Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanibomoa
Badala ya kujenga anabomoa

Eti mapenzi hayalazimishwi
Tena ni siri ya watu wawili
Wala sikuwa mbishi
Alivyonikata kimwili

Asa jana nipo kwa mama Winnie
Napiga zangu chai vitumbua
Eti kasambaza za chini chini
Mie bado ninamsumbua

Ooh mwambieni dada yenu hajanibomoa
Eti badala ya kujenga anabomoa
Mwambieni dada yenu hajanikomoa
Ah badala ya kujenga Ana

Do do style
Eeh Mudi mnyama
Msalimie Jengo tamu
Eeh wapi mchachambo mchachambo
Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita
(Twende twende)

Asa mguu pande mguu pande
Twende mguu sawa mguu sawa
Eeh mguu pande mguu pande
Mguu sawa mguu sawa

Ruka kijeda kijeda
Wahuni kijeda kijeda
Asa jump kijeda kijeda
Gwaride la kijeda kijeda

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa
Bosi mwenye bajaji hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa

Chombo imelala gereji
Mie jana sijakula vichwa
Umetuma bonge la meseji
Unataka pesa jua tu ni kichwa

Mi nafanya kazi kwa shida
Ninakesha tena silali
Unachukulia barida
Kwa nguvu unadai salary

Muda mwingine niwabebe ndugu zako
Ooh, ooh ndugu zako
Mwisho wa wiki unataka pesa zako
Ooh, ooh pesa zako

Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Bosi mwenye bajaji hujanikomoa
Eti badala ya kujenga

Wazee wa chafu tatu (mama)
Chafu tatu (chinja)
I say chafu tatu
Chafu tatu

Na stima kei ndani (wahuni)
Kei ndani (machizi boti)
Ana dume ndani (duke boti)
Dume ndani (yuapiga mata)
Mzungu wa pili ndani (wahuni)
Pili ndani

Aya sasa chafua (walete)
Chafua (walete)
Wahuni chafua (walete)
Chafua (walete)

Nasema fitizi hiyo (baruti)
Fitizi hiyo (baruti)
Sasa fitizi hiyo (baruti)
Fitizi hiyo

Juma mpogo
Msalimie Omari Omari
Na anifikishie salamu zangu kwa Dogo Mfalme
Waambie gurudumu linasongeshwa
Na Konde Boy Mjeshi

Kama unampenda Dogo Mfalme, kimbiaa
Kama unampenda Omari Omari, kelele
Usijebishana, Young Keys mleto

Mwambie mzambela ninyonge
Hunter ninyonge
Dogo router ninyonge
Jose wa mipango, wa mipango

Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Maana badala ya kujenga unabomoa
Baaba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Badala ya kujenga unabomoa

Unakuja mpaka ndani
Tena bila kugonga hodi
Niulizapo kunani?
Nimechelewa kulipa kodi

Umeme kwangu umekata
Taa kwako zinawaka
Hata maji umekata
Nashinda gogo kukata

Kupata majaliwa
Ipo siku nitapewa
Kwangu nitahamia
Hata ikichelewa

Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa
Eti badala ya kujenga unabomoa

Hii ni order toka jeshini
Namanisha kambi kuu Konde gang
Na anayezungumza hapa ni mjeshi
Wa majeshi yote ya Konde gang

Tulia, tulia, tulia
Kaa chini wewe, kaa chini

Haya sasa toa shati, toa shati
Aah zungusha shati, zungusha shati
Eeh mpaka kofia yaani dareki
Wazee wa vitambaa vitambaa

Hii ni order wahuni kimbia
Wote lala chini, nasema lala chini
(The Mix killer)


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Harmonize e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção