exibições de letras 1

Sisi-Wa-Ziwa-Hili

KingsMainaMSsteve

Karibu nyumbani
Karibu home
Karibu kwa kipenzi cha moyo wangu
Sisi hapa tunapeda kufurahia siku zote
Sisi wote tumetoka far
Na tunaeda far
Mimi ni mswahili
Wewe ni mswahili
Sisi wote ni waswahili eeeh

Sisi-Wa-Ziwa-Hili
Sisi dio wenyeji wa hapa
Tunajivunia haya mazigira yetu
Hewa safi watu safi
Kunapedeza huku kwetu
Kuna milima mabonde
Wanyama tofauti tofauti
Kwenu mnajivunia nini
Kila mahali kuna siri yake
Tembea ujionee
Dunia ni kubwa

Hapa tunakula samaki na ugali
Kwenu mnakula na nini
Hapa tunasafiri na meli
Kwenu mnasafiri na nini
Hapa tunapedana kama familia
Kwenu je mnapedana

Waone watoto akina mama wanaogelea
Wazee kwa vijana wanatega samaki
Wamejiajiri wenyewe
Wadogo wakubwa
Wakonde kwa wanono
Maskini kwa tajiri
Waliosoma na ambao hawajasoma
Wote tunaishi mtaa moja

Sisi-Wa-Ziwa-Hili
Sisi dio wenyeji wa hapa
Tunajivunia haya mazigira yetu
Hewa safi watu safi
Kunapedeza huku kwetu
Kuna milima mabonde
Wanyama tofauti tofauti
Kwenu mnajivunia nini
Kila mahali kuna siri yake
Tembea ujionee
Dunia ni kubwa

Uede Korea ufanye kazi uko
Uede Marekani upate bibi huko
Ufugue kampuni kubwa India
Utembee Africa
Kila mahali wakujue

Ufugue studio za mziki Russia
Ukuwe msani mkubwa
Dunia inakutabua
Ukuwe dactari utibu watu dunia kote
Ukuwe mwigizaji upate pesa mingi
Aje huko kuote utaeda

Lakini home is the best
Utarudi tu umejijua ukiwa uko
Uedesha ndege angani
Ufly na parachut angani
Uedesha Titanic meli kubwa duniani
Uedesha meli juu ya maji
Uedesha matatu barabarani
Uedesha baskeli nyikani
Utembee adventure kila mahali
Utarudi home, home is the best

Wapede wasipede
Wakupede wasikupede
Home is the best place
Wakudumu atadumu milele
Wakukupeda atakupeda milele
Wakukupeda atakupeda milele
Wakubadilika atabadilika milele
Jua maana yake

Fanya kazi siku therathini mwezi mzima
Nenda kasalimie wazazi wako nyumbani
Wapelekee sukari mkate
Hakuna wengine kama hao

Sisi-Wa-Ziwa-Hili
Sisi dio wenyeji wa hapa
Tunajivunia haya mazigira yetu
Hewa safi watu safi
Kunapedeza huku kwetu
Kuna milima mabonde
Wanyama tofauti tofauti
Kwenu mnajivunia nini
Kila mahali kuna siri yake
Tembea ujionee
Dunia ni kubwa

Tumezaliwa hapa
Tumesomea hapa
Tumekulia hapa
Tutaishi hapa hadi kifo
Generation zetu watabaki hapa
Tutaishi Milele
Daima dawamu
Sisi-Wa-Ziwa-Hili
Sisi dio wenyeji wa hapa


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de KingsMainaMSsteve e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção