exibições de letras 3

Wangu (feat. Mr. Blue)

Lady Jaydee

Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo

Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaah aaah
Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua
Na moyo giza nene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua aaah

Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho, nikabaki nalia na moyo

Yule fedha, huyu mvuto
Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Huyu mkubwa, yule mdogo
Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka akiugua
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka akiugua aah

Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho (nalia na roho, nalia na moyo)
Nikabaki nalia na moyo (nalia na roho, nalia na moyo)
Nikabaki nalia na roho (aah what? nalia na roho)
Nikabaki nalia na moyo, (Jay Dee!)

Mr. Blue
Nilimpa penzi, kamjali kwa maradhi, mavazi na makazi
Kumbe mshenzi, hana hadhi, bure tu nampandisha ngazi
Nikamweka wazi kwa paparazi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe sina demu naishi na jambazi
Mi naziba huku, kule pako wazi no!
Sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo
Mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini, no money, no honey nimebaini wee
Kwanini naumia kila saa,
wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa paa

Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilisha kuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho (moyo)
Nikabaki nalia na moyo (nalia na roho, nalia na moyo)
Nikabaki nalia na roho (mh mmh)
Nikabaki nalia na moyo (Jay Dee!)

Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Lady Jaydee e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção