exibições de letras 15

Dream In Love

M Nex Nex I

Letra

    m nex ooh ouwah yeeah mhh
    nono nonoo yeeii

    nimewahi kumcheki nikamtumia text
    akanijibu yuko busy, ila ndo ivo hataki nikiomba tu
    meet kila siku yuko busy

    sio siri pisi naizimia, nikimpigia ananikatia tu
    jina lake siwezi kukutajia utaniibia, utanizingua eeh
    (Abnormal city)

    aanh, japo yuko busy na hajantext yani best yani fresh,
    niko nae mwaka sasa na hajancheki ila

    natamani siku moja tu nimpange,
    nimpate awe wangu na hata kama na anidange, tena

    ni mwembamba na ana ufupi wa chini

    lake shape na anatamba sio ni uzushi amini
    nai nai, now mobetto yuko fresh na mimi
    nikimpata na nikitoka niko fresh madini

    sasa kama tu ni pesa nikipata na nitamshika
    mana mapenzi na yalinitesa nikamfata na akanificha
    ninachopenda ni mapicha anavyo-post daily
    viji-snap akikatika naona naona posts kweli

    hisia zinauma basi kwake nimefika
    ananipika nampakua, lake penzi nalidhika sina viatu ntapekua
    mtoto noma akitingisha haya mapenzi anayajua
    noma noma kwa mapicha nipate bingo ntambandua

    tena nahisi yuko single na ana boss,
    kuhusu mtoto tu kumpata na sio simple haitoshi
    isiwe ndoto me kuwa nae, nikomae, atanielewa tu
    acha ntamcheki baadae ntampigia atanielewa tu

    natamani aniite darle (darling) twende mbali niwe nae milele
    akifika si tupare tupare (tu-party), akichoka tulale
    me natamani kukapata siku nyingi dear
    pretty light kanang'ara na night pia

    rangi shape hiyo colour nikuvutia
    kapo fit kama tower kametimia
    bado niko busy mwenzenu nafukuzia
    link hiyo lishe kwa nyuma kamejazia

    modo (model) akitupa guu lake nyuma la bia (beer)
    mpenzi matata zee langu sijawahi jionea
    mana jicho ni gololi, linanesa lina roll
    picha yake ni story instagram ina round

    ma boss, ma pochi, matozi,
    wadosi wanaume natochi wanamulikia
    mana bado hiyo link na find money ni me
    logo chapa hiyo link hamsini moja ni mia

    hapa hati ni trick kumpata manzi ni nia
    nampenda mwenzenu wallahi nimemzimia, (tzee)
    isiwe ndoto me kuwa nae, nikomae, atanielewa tu

    acha ntamcheki baadae ntampigia atanielewa tu
    natamani aniite darle (darling) twende mbali niwe nae milele
    akifika si tupare tupare (tu party), akichoka tulale
    It's a trap house records


    Comentários

    Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

    0 / 500

    Faça parte  dessa comunidade 

    Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de M Nex Nex I e vá além da letra da música.

    Conheça o Letras Academy

    Enviar para a central de dúvidas?

    Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

    Fixe este conteúdo com a aula:

    0 / 500

    Opções de seleção