We Huogopi

Phina

Yah, yah, yah, yah
Yah, yah, yah, yah, yah
Yaweh, Yaweh

Eh Mungu wangu, ona
Kidogo ulichonijalia mimi
Kuna watu wanakerekwa
Wanaumia yah, ah

Hapo ndo sina hata vyangu
Naishi nyumba ya kupanga
Sa nikijenga itakuaje?
Wataniwekea sumu
Wataniua mimi (aah)

Siku hazifanani (aah)
Kesho yangu yaja (oh yaja)
Nitanunua kandinga
Wale watakao nipinga
Siwapandishi

Na Mungu si athumani (aah)
Jina langu litatajwa, litatajwa
Nitayashinda, namwamini yeye tu
Hamnitishi

Nalindwa na Sir God (we huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi)
Ukirusha mshale unadunda (we huogopi)
Na ndo maana ni nadunda tu (we huogopi)

Nalindwa na Baba eh (we huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi)
Ukirusha mshale unadunda (we huogopi)
Na ndo maana mi nadunda tu (we huogopi)

Mia yangu, jero yangu, buku yangu
Niko happy, kisichoriziki naachana nacho
Ndala yangu, bukta yangu, shati langu (eeh, mmh)
Niko happy, kisichoriziki naachana nacho

Siku hazifanani (aah)
Kesho yangu yaja (oh yaja)
Nitanunua kandinga
Wale watakao nipinga
Siwapandishi

Na Mungu si athumani (aah)
Jina langu litatajwa, litatajwa
Nitayashinda, namwamini yeye tu
Hamnitishi

Nalindwa na Sir God (we huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi)
Ukirusha mshale unadunda (we huogopi)
Na ndo maana ni nadunda tu (we huogopi)

Nalindwa na Baba eh (we huogopi)
Nipo ngangari na siogopi chochote (we huogopi)
Ukirusha mshale unadunda (we huogopi)
Na ndo maana mi nadunda tu (we huogopi)


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Phina e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção