Shoga

Shaa

Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana

Mi naulizwa, eti mi na we vipi
Mbona hatuelewani
Wakati urafiki wetu
Kila mtu anaufahamu
Ila lazima leo niseme
Kuwa wewe ni mzushi, tena muongo
Na kumbe una lako jambo
Uliponishauri niachane nae

Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana

Kila nilipogombana nae
Kumbe wewe ulifurahia
Na nilipoachana nae
Kumbe wewe ulimfariji
Nilikupenda kama dada yangu
Lakini kumbe we unanitega
Ila jua leo kwangu rafiki
Na kesho ni kwako wewe

Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana

Sikutegemea ungenigeuka
Tena bila aibu umenikosea
Inaniuma sana ulivyonitenda
Tuone tamaa yako itaishia wapi
Sikutegemea ungenigeuka
Tena bila aibu umenikosea
Inaniuma sana ulivyonitenda
Tuone tamaa yako itaishia wapi

Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Hata wewe, hata wewe (rafiki yangu)
Hata we shoga yangu, hata wewe
Inasikitisha (kwanini?), inasikitisha (kwanini?)
Inasikitisha, sikitisha sana
(Inasikitisha) inasikitisha, inasikitisha
(Inasikitisha) inasikitisha, sikitisha sana


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Shaa e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção