
Nimezama (feat. D Voice)
Zuchu
Hhm, habibi nikuulize swali, kipi cha kukuongeza
Kama unaona bado sema kilichopungua
Vingine vyote tayari madeko kunidekeza
Umeniwezea haapo chali mi ushaniuwa
Penzi lako mradi naweza kulikopea
Mamlaka yenye kodi watudai na fidia
Ah! Maana raha zimezidi paka zanimwagikia
Hmm! Maana raha zimezidi paka zanimwagikia
Ufukweni
Ufukweni mwa bahari (ah! Mikono)
Mikono tumeshikana (ah! Mawimbi)
Mawimbi yameshamiri (Nyoyo zime!)
Nyoyo zimesemezana
Kwako nimezama
Kwako nimezama
Kwako nimezama
Kwako nimezama
Aah! Upande kanga ukinivalia
Kiunoni shanga zinachungulia
Ndo ugonjwa wangu, ndo ugonjwa, wa ah!
Wala siendi kwa mganga wakaniibia
Mama nyakanga nimemrithia
Sio shida zangu, sio shida zaa
Na ah! Huba lako biriani
Lenye shombo shombo ya mbuzi
Aiy napenda unavyonisifu laini
Ah! Nafaa kwa matumizi
Ufukweni
Ufukweni mwa bahari (ah! Mikono)
Mikono tumeshikana (ah! Mawimbi)
Mawimbi yameshamiri (Nyoyo zime!)
Nyoyo zimesemezana
Kwako nimezama (kwako nimera niko rarara)
Kwako nimezama (kwako nime nimezaama)
Kwako nimezama (oh nimezaa nimezaama)
Kwako nimezama (kwako nime eeeh eeh zama)
Hili penzi limemshindwa shetwani mkaa kichwani
Mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani
Hili penzi limemshindwa shetani mkaa kichwani
Mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani



Comentários
Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra
Faça parte dessa comunidade
Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Zuchu e vá além da letra da música.
Conheça o Letras AcademyConfira nosso guia de uso para deixar comentários.
Enviar para a central de dúvidas?
Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.
Fixe este conteúdo com a aula: