exibições de letras 96

Nani (feat. D Voice)

Zuchu

Ai, Pablo
Mr. LG

Ai sweetie kuna kitu mi nataka nikwambie
Lakini naogopa utaniona ka una wivu hivi
Oh sweetie, nikunong’oneze wa pembeni wasisikie
Maana naogopa wataniona ka nina wivu hivi

Asa sijui ndio ujinga, sijui ndo ufala
Au sijui mazoea, ila napata tabu ukiwa mbali ma
Maona nashindwa, kula hata kulala
Mnyonge nanyong’onyea
Mwenzio napata tabu ukiwa mbali ma

Honey kwako mi chizi poyoyo
Usiende mbali nami, we ndio tulizo la moyo
Honey kwako mi chizi poyoyo
Usiende mbali nami, we ndio tulizo la moyo

Oh na kama sio wewe (nani)
Wa kuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)

Na kama sio wewe (nani)
Wa kuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)

Mh

Zuchu-chu-chu
Kuna venye hutimamu
Unaniteka na kuwa chakaram
Hii inaitwaje kitaalam
Ukitajwa kimoyo ni paaah
Why why why why tam
Mshwiti mshwiti bubble gum (bubble gum)
Yani yam yam yam yam yam
Ndo mapenzi au ufalaa
Why why why

Kwanza yote tisa kumi
Moyo umeuhamisha kambi
Kanipa penzi sabuni
Lanitakatisha dhambi

Wanasubiri livunjike penzi hili
Hatutishwi na tumbili
Kuachana apende mwenyezi

Honey kwako mi chizi poyoyo
Usiende mbali nami, we ndo tulizo la moyo
Honey kwako mi chizi poyoyo
Usiende mbali nami, we ndo tulizo la moyo

Oh na kama sio wewe (nani)
Wa kuniliwaza (nani)
Kunibembeleza (nani)
Wa kunipepea nilale (nani)

Na kama sio wewe (nani)
Na kama si wewee (nani) (nani)
Naani nani (nani)
Wa kunidekeza


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Zuchu e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção