Xmas Song (feat. Nuclear)

Zzero Sufuri

Sijajipinge kuburn
Sijajipinge kuburn
Sijajipinge kuburn
Magwaka zangu zimeland (yeah)

Naskia kuimba zimenishika
Naskia kuseti kiseti mina
Naskia kuimba zimenishika
Pedi wangu hayuko around

Naskia kuseti kisesi mina
Naskia kuimba zimenishika
Naskia kuseti kisesi mina
Pedi wangu hayuko around

Kuna venye nilikuwa nikitaka
Sijui ka unauzaga nyama ya bata
Leta kwanza ka umekata kata
Sijui ka nitabeba ama itanifuata

Bahati nzuri nimeipata
Pitia kwa duka uchukue Fanta
Coke ama Sprite fasta fasta
Ni mistari kuziandika na mafans kuwashika
Hadi wanapandisika downtown hadi Thika
Kutoka foreign Dagoretti washafika
Ndani ya kambi flani ni mistari tunazipiga
Ni venye zimeiva hadi wanadai kuonja
Hawawezi ngoja ni venye mi huwanyc design
Ya kajaba na tunjoti au gomba
Na ikibamba sana DJ pull up ka ni noma, yah yah

Sijajipinge kuburn
Sijajipinge kuburn
Sijajipinge kuburn
Magwaka zangu zimeland (yeah)

Naskia kuimba zimenishika
Naskia kuseti kiseti mina
Naskia kuimba zimenishika
Pedi wangu hayuko around

Naskia kuseti kisesi mina
Naskia kuimba zimenishika
Naskia kuseti kisesi mina
Pedi wangu hayuko around

Flight 4:20 haina hadi departure
Walai mi naapa shasha mi sitawai kuacha
Tangu nikujue mi ni kama pacha
Mara nyingi mi hujipata nikikuwaza

Nakutaja nakuroll nakuasha
Mokoro alinipata na wewe si alinipasha
Akanikataza same day akapata na-na-na zigi kwa kinyasa
Heri unichizishe kuliko unidai na cancer
Sa mbona nikufiche nikikukula ka nimenyamaza
Sia ati sina senti, sina sensi za kuseti
Sesi kuseti, na huyo pedi akikuja Ghai tutableki
Ni Dagoretti na tuliwashow we gon' make it

Sijajipinge kuburn
Sijajipinge kuburn
Sijajipinge kuburn
Magwaka zangu zimeland (yeah)

Naskia kuimba zimenishika
Naskia kuseti kiseti mina
Naskia kuimba zimenishika
Pedi wangu hayuko around

Naskia kuseti kisesi mina
Naskia kuimba zimenishika
Naskia kuseti kisesi mina
Pedi wangu hayuko around


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Zzero Sufuri e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção