Papa (feat. Elani & Bryan)

King Kaka

Bryan
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh, oh, oh

Okay
Siwezi wadanganya, me sikua poa na my father
Nilijionea kwa macho zangu aki-disagree na mother
Kifaranga itakua jogoo, huonekana yai ikitagwa
I was a kid in '93 naikumbuka kama jana
And that's why (rest his soul) I never talk about him
Na nilipromise mom next day, nitaenda kumwona hosi
Deep within I was bitter, jua kadhaa zikapita
Machozi kwa giza but nasmile in disguise
Ati nimwache apone kwanza, ndio apate nguvu ya ku-apologize
Hadi alitumana, I always blame myself for that
Fursa tu, nikakataa kusema goodbye to dad
Hio kitu huniuma hadi wa leo
Wimbi zangu zimepotea kwa uteo

Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh, oh, oh

Elani
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)

Hata nikisema asali mara ngapi utamu haitafika kwa mdomo
Ndio kitu niligundua vile tu nyi mlikuwa wadogo
Saa hii me ni father of two before mzaliwe mlikuwako news
Naomba baadae mtanielewa, kwa saa hii me nitawalea
Mnatoa meno lini, I wish mngekuja na manual
Plus narespect mama zenu vile situation walihandle
Tumedisagree, tumego for days hatujaongea
Hata maji sakafuni after day inapotea
Nawish singeido, but nikiwatazama it's so good
Na mimi sio perfect, hakuna moment naregret
Busy kwa stage na Onset, ndio muwe na chakula kwa plate
Nawapenda, niko njiani
Kwangu everyday ni Father's day

Elani
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh, oh, oh

Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)

Bryan
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh, oh, oh

(Papa, papa, papa)
(Papa, papa, papa)
(Papa, papa, papa)
(Papa, papa, papa)

Elani
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh, oh, oh

Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)
Wewe (papa, papa, papa)


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de King Kaka e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção