Tutawaaibisha (Wataaibika)

KingsMainaMSsteve

Walithania tutakuwa walivyio thania yao
Sisi sasa ni watu wengine
Hawaamini, wasema ni uchawi
Wengine wasema ni miti shamba

Sisi tuna mjua mungu mmoja
Naye ni mungu wa Ibrahimu
Ule wa Bible, eeh, ule mmoja wa Bible

Nilisema tu siku moja tutawaaibisha
Wataaibika na miujiza ya mungu wakituona
Sikuwa mlevi
Nilisema siku yangu itafika nikuwe mimi

Lakini mimi mwingine mtu wa kupedwa na kila mtu
Mbona mnainama mkiniona
Niagalieni kwa macho nyinyi
Mbona hamuniogelei sana

Na venye mlikuwa mnaniogelea vibaya
Endeleni kuniogelea
Nawaluhusu, hiyo ni haki yenu
Mbona mnanisalimia na hamukuwa mnataka ata kuniona

Siwasalimiki sasa mnataka mawaitha
Nilivyio fanikiwa mtoto wa nyoka ni nyoka
Siwezi saidiana na watu kama nyinyi
Kaeni na maisha yenu

Mimi nakaa na maisha yangu
Poleni sana

Mwanadamu anamambo mingi ya kufanya maishani
Nayo maisha ina surprise yake
Maisha ni shule kusoma kuhitimu ni kazi

Wambo aliniacha akapeda brayo
Wacha akae uko joki
Akasema sitanunua mahali
Sasa hivi ona masion yangu

Utaskia kiwaru unikemee
Alafu ukuje sasa tuugane
Tukuwe kitu moja
Sitakubali

Ivo unilete chini penye sijawai fika
Alafu uje uniombe msamaha
Turudiane na wewe haiwezi
Sitakubali

Ulikosa kunisuporti wakati nilikuwa chini
Sasa nimejisimamishi mimi mwenyewe
Sasa nimeanza kukuona karibu na maisha yangu
Kwenda kabisa

Wewe ni rafiki wa aina gani
Nenda na sitawai taka kukuona karibu na maisha yangu
Watu wengine waodoe kabisa karibu na maisha yako
Na mambo itakuwa poa sana

Eeh wewe mwenyewe

Nilisema tu siku moja tutawaaibisha
Wataaibika na miujiza ya mungu wakituona
Sikuwa mlevi
Nilisema siku yangu itafika nikuwe mimi

Lakini mimi mwingine mtu wa kupedwa na kila mtu
Mbona mnainama mkiniona
Niagalieni kwa macho nyinyi
Mbona hamuniogelei sana

Na venye mlikuwa mnaniogelea vibaya
Endeleni kuniogelea
Nawaluhusu, hiyo ni haki yenu
Mbona mnanisalimia na hamukuwa mnataka ata kuniona

Siwasalimiki sasa mnataka mawaitha
Nilivyio fanikiwa mtoto wa nyoka ni nyoka
Siwezi saidiana na watu kama nyinyi
Kaeni na maisha yenu

Mimi nakaa na maisha yangu
Poleni sana


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de KingsMainaMSsteve e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500

Opções de seleção