tuna furaha moyoni
tumebarikiwa
asate sana maulana
kwa kutubariki
leo ni siku yetu

ilopangwa na mola
alilopanga mola halina pingamizi
walimu na wazazi mungu awabariki
mkaishi maisha ya amani na upendo
namwona mama amina

na wenzake waalimu
wote wameridhia
kuiona sherehe
wageni mbalimbali
kufikia kawino

shangwe vigelegele
ni kwa wageni wote
upande wa hisabati
tumsifu lewis

bila kumsahau
na mwenzake adwogo
upande wa kiingereza
tumsifu bii lili

bila kumsahau
na mwenzake bii mwangi
upande wa kiswahili
tumsifu kerima
bila kumsahau

na mwenzake bii betty
upande fisikia
tumsifu adwogo
bila kumsahau

na mwenzake lewis
upande wa hitoria
tumsifu amina
na mwenzake ochuka
magwiji wa historia

upande wa kemia
tumsifu kabwori
na elimu viumbe
tumsifu frank

na upande wa dini
upande wa kilimo
tumsifu bii suzie
upande wa biashara

tumsifu philipo
hawa wote walimu
tunawapa kongole

Tradução Adicionar à playlist Tamanho Cifra Imprimir Corrigir

Posts relacionados

Ver mais posts